Najisikia kuua tena"...Inspekta, najisikia kuua tena..." inadai sauti katika sim ambayo imo mikononi mwa shupavu wa polisi. Hii ikiwa simu ya pili, baada ya ile ya awali ambayo ilifuatwa na kifo cha mwandishi maarufu, inamtia Inspekta hasira kali, nusu ya wazimu. Anafanya yote awezayo kufanya ili amtie mwuaju huyu mikononi mwa sheria...hapatikani... Ndipo anajitokeza Joram Kiango. Mbinu zake za pekee, pamoja na kutokwa jasho jingi, kunamwezesha kugundua mengi amabyo yanaitisha dunia na kuitetemesha nchi nzima. lakini kila hatua anayoipiga katika upelelezi wake inamsongeza karibu zaidi na kinywa cha mauti chenye kiu ya damu yake, kilicho wazi kikimsubiri kwa hamu... |
Other editions - View all
Common terms and phrases
17 Machi afande aina akiinuka akimtazama akiwa aliendelea alifoka alihoji alijibu alikuwa aliongeza alisema alitabasamu ambacho ambalo ambaye askari bado bastola Bazile Ramadhani chochote chumba dakika damu Dar es Salaam dereva Dismas endapo gari ghafla hadi hadithi Hakujua hakuwa haraka haraka harakati hatari hicho hofu huku huyu Ilala Inspekta Kombora jina Joram Kiango jukumu kabla kadhaa katibu kawaida kesho kiasi kicheko kifo Kigamboni kijana huyo Kinondoni kisha Kitenge Komba kuendelea kumtazama kuona kupata kutisha kuua Kwame kwani lolote macho Machozi mama huyo maongezi mara kwa mara marehemu mashaka mauaji mbele mengi meza mipango mkono mkononi mkubwa mlango mpenzi mshangao msichana mtunzi Muhimbili muswada huo mwake mwanamke mwenye mwenyewe Nadhani nani Neema njama nuru ofisi ofisini picha pigo pindi polepole polisi Rusia safari sajini Abdala sauti silaha simu siri suala swali taarifa tabasamu tayari usiku usingizi vipi vyema Wamangi wapi wazimu wewe wowote yako yeyote zake Zanzibar