Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar

Front Cover
Dl2a - Buluu Publishing - 128 pages
0 Reviews

HASHIL Seif Hashil alizaliwa kwenye ngarawa katika maji ya bahari ya Pemba Januari 12, 1938. Alisoma skuli ya msingi ya Mkwajuni na baadaye katika iliyokuwa Seyyid Khalifa Secondary Technical School, Beit-el-Ras, Unguja. Alikuwa ni mmoja wa vijana wafuasi wa Abdulrahman Babu waliopelekwa Cuba kwa mafunzo ya kijeshi kabla ya Mapinduzi ya Januari 12, 1964.  Baada ya Mapinduzi alipelekwa Indonesia kusomea sayansi ya ubaharia kwa miaka miwili na pia alipelekwa China kusomea uanamaji.
Aliporejea Zanzibar alipewa cheo cha uluteni katika jeshi la wanamaji na baadaye alipokuwa kwenye manuwari alipandishwa cheo na kuwa kapteni.
Hashil Zanzibar alifanya kazi mbalimbali kama vile za askari wa forodha na muuguzi. Aliwahi kuwa afisa wa tatu katika meli za MV Africa na MV Jamhuri.
Alipouliwa Rais wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume 1972, Hashil alikamatwa na kuwekwa jela ya Ukonga, Dar es Salaam, kwa muda wa miaka sita. Alipofunguliwa alikwenda Denmark kama mkimbizi. Baada ya miaka mitano akawa raia wa Denmark.
Alifanya kazi katika meli mbalimbali za Kideni na baadaye alifanya kazi kwa miaka 20 katika Shirika la Haki za Binadamu la Denmark.
Hashil ni mshairi na mwandishi wa vitabu vya riwaya. 

What people are saying - Write a review

We haven't found any reviews in the usual places.

Other editions - View all

About the author

HASHIL Seif Hashil alizaliwa kwenye ngarawa katika maji ya bahari ya Pemba Januari 12, 1938. Alisoma skuli ya msingi ya Mkwajuni na baadaye katika iliyokuwa Seyyid Khalifa Secondary Technical School, Beit-el-Ras, Unguja. Alikuwa ni mmoja wa vijana wafuasi wa Abdulrahman Babu waliopelekwa Cuba kwa mafunzo ya kijeshi kabla ya Mapinduzi ya Januari 12, 1964.  Baada ya Mapinduzi alipelekwa Indonesia kusomea sayansi ya ubaharia kwa miaka miwili na pia alipelekwa China kusomea uanamaji.
Aliporejea Zanzibar alipewa cheo cha uluteni katika jeshi la wanamaji na baadaye alipokuwa kwenye manuwari alipandishwa cheo na kuwa kapteni.
Hashil Zanzibar alifanya kazi mbalimbali kama vile za askari wa forodha na muuguzi. Aliwahi kuwa afisa wa tatu katika meli za MV Africa na MV Jamhuri.
Alipouliwa Rais wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume 1972, Hashil alikamatwa na kuwekwa jela ya Ukonga, Dar es Salaam, kwa muda wa miaka sita. Alipofunguliwa alikwenda Denmark kama mkimbizi. Baada ya miaka mitano akawa raia wa Denmark.
Alifanya kazi katika meli mbalimbali za Kideni na baadaye alifanya kazi kwa miaka 20 katika Shirika la Haki za Binadamu la Denmark.
Hashil ni mshairi na mwandishi wa vitabu vya riwaya. 

Bibliographic information